Nini Quotes

Authors: A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Categories: A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
kwa-nini-tuseme-k-na-si-kkk-au-knk-au-kk-lazima-tujifunze-kuipenda-na-kuitetea-lugha-yetu-kwa-usumbufu-wa-vizazi-vijavyo-enock-maregesi
jambazi-aliyekubuhu-hawezi-kumuua-mtu-bila-kumwambia-kwa-nini-anamuua-si-sheria-ya-john-murphy-ni-sheria-ya-eac-enock-maregesi
las-vegas-madhali-umeona-tunafanya-nini-katika-maisha-fumba-macho-kwa-kuyakodoa-wanaosema-hawajui-wanaojua-hawasemi-siri-ni-siri-milele-kinachofanyika-hapa-hubakia-hapa-enock-mar
mbok-kau-mau-lawan-kejahatan-nini-dengantanganmu-tapi-kau-tak-mampu-maka-itu-kau-lawan-dengan-lidahmu-kaupun-tak-mampu-kemudian-kau-cuma-lawan-dengan-hatimu-setidaktidaknya-kau-m
ukitaka-kufanikiwa-katika-maisha-angalia-watu-wanataka-nini-halafu-wape-kama-wanataka-burudani-wape-kama-wanataka-elimu-wape-kama-wanataka-bidhaa-wape-kama-wanataka-huduma-wape-w
Kamishna ... karibu, " alisema Nafi huku akisimama na kutupa gazeti mezani na kuchukua karatasi ya faksi, iliyotumwa. "Ahsante. Kuna nini ... " "Kamishna, imekuja faksi kutoka Oslo kama nilivyokueleza - katika simu. Inakutaka haraka, kesho, lazima kesho, kuwahi kikao Alhamisi mjini Copenhagen, " alisema Nafi huku akimpa kamishna karatasi ya faksi. "Mjini Copenhagen!" alisema kamishna kwa kutoamini. "Ndiyo, kamishna ... Sidhani kama kuna jambo la hatari lakini." "Nafi, nini kimetokea!" "Kamishna ... sijui. Kwa kweli sijui. Ilipofika, hii faksi, kitu cha kwanza niliongea na watu wa WIS kupata uthibitisho wao. Nao hawajui. Huenda ni mauaji ya jana ya Meksiko. Hii ni siri kubwa ya tume kamishna, na ndiyo maana Oslo wakaingilia kati." "Ndiyo. Kila mtu ameyasikia mauaji ya Meksiko. Ni mabaya. Kinachonishangaza ni kwamba, jana niliongea na makamu ... kuhusu mabadiliko ya katiba ya WODEA. Hakunambia chochote kuhusu mkutano wa kesho!" "Kamishna, nakusihi kuwa makini. Dalili zinaonyesha hali si nzuri hata kidogo. Hawa ni wadhalimu tu ... wa madawa ya kulevya." "Vyema!" alijibu kamishna kwa jeuri na hasira. Halafu akaendelea, "Kuna cha ziada?" "Ijumaa, kama tulivyoongea wiki iliyopita, nasafiri kwenda Afrika Kusini." "Kikao kinafanyika Alhamisi, Nafi, huwezi kusafiri Ijumaa ... " "Binti yangu atafukuzwa shule, kam ... " "Nafi, ongea na chuo ... wambie umepata dharura utaondoka Jumatatu; utawaona Jumanne ... Fuata maadili ya kazi tafadhali. Safari yako si muhimu hivyo kulinganisha na tume!" "Sawa! Profesa. Niwie radhi, nimekuelewa, samahani sana. Samahani sana.

Enock Maregesi
kamishna-karibu-alisema-nafi-huku-akisimama-na-kutupa-gazeti-mezani-na-kuchukua-karatasi-ya-faksi-iliyotumwa-ahsante-kuna-nini-kamishna-imekuja-faksi-kutoka-oslo-kama-nilivyokuel
kujua-nini-kitatokea-kesho-au-kesho-kutwa-au-kujua-jinsi-usaili-wako-wa-kazi-utakavyokuwa-au-ni-maswali-gani-utakayoulizwa-kwenye-mtihani-kwa-mfano-kutarahisisha-sana-maisha-yetu
Mapenzi, kama ilivyo kwa vitu vyote hapa ulimwenguni, hayawezi kuwepo bila kujumuishwa na fizikia na kemia yake! Bila kemia hakuna mapenzi ya kudumu. Tamaa ya ngono kimsingi huanza pindi unapokutana na mtu. Tamaa hiyo huweza kukua na kuwa kitu kingine kadiri muda unavyokwenda lakini chanzo kinakuwepo toka siku ya kwanza mlipokutana. Kemikali inayosababisha tamaa ya ngono na hata kuikuza tamaa hiyo ni 'phenyl ethylamine' ('fino itholamine') au PEA ambayo ni kemikali ya mapenzi ndani ya ubongo. Husisimua watu na huongeza nguvu za kimwili (fizikia) na kihisia (kemia). Tamaa husababisha mtu azalishe PEA nyingi zaidi, kitu kinachosababisha kujisikia kizunguzungu (cha hisia za kimapenzi) na dalili zingine kama magoti kutetemeka, jasho kutoka viganjani na kutokutulia. Kemikali hii inapozalishwa kwa kiwango kikubwa, hutuma alamu ('signals') kutoka kwenye ubongo mpaka kwenye viungo vingine vya mwili na kutumika kama 'dopamine' au 'amphetamine' ambazo ni kemikali za ulevi ndani ya ubongo. Iwapo unajiuliza kwa nini wewe au mtu mwingine unavutiwa na mtu ambaye hamwendani kimapenzi, inaweza kuwa ni kwa sababu una kiwango kikubwa cha kemikali hizo kuliko mwenzako, kitu ambacho huzidi uwezo wa kutumia kichwa na kutoa maamuzi bora kulingana na akili ya kuzaliwa. Kwa jumla, mapenzi yote ya kweli uhitaji angalau kiwango kidogo cha PEA kwa wale wanaopendana. Cha msingi kukumbuka ni kwamba kemikali hizi huja kwa vituo, nikiwa simaanishi kwamba tamaa ya ngono hupotea pale mtu anapoelekea kwenye uhusiano wa kudumu. Lakini mambo hubadilika. Hatuwezi kuvumilia zile hisia kali kadiri tunavyozidi kusafiri kuelekea kwenye uhusiano wa kudumu na kwenye maisha ya pamoja yenye furaha. Katika uhusiano wenye afya hata hivyo matatizo hutokea hapa na pale. Chanzo cha Murphy na Debbie kupendana kilikuwa kemia zaidi kuliko fizikia. Kama hakuna kemia hakuna mapenzi.

Enock Maregesi
mapenzi-kama-ilivyo-kwa-vitu-vyote-hapa-ulimwenguni-hayawezi-kuwepo-bila-kujumuishwa-na-fizikia-na-kemia-yake-bila-kemia-hakuna-mapenzi-ya-kudumu-tamaa-ya-ngono-kimsingi-huanza-p
?Earn cash when you save a quote by clicking
EARNED Load...
LEVEL : Load...